A Schools
B Schools
C Schools
Unknow



🎓 Rahisisha Usajili na Uandikishaji wa Wanafunzi

Ungana na shule 100+ kutumia ShuleWiki kusimamia maombi, mawasiliano na wazazi, na mahitaji ya wanafunzi kabla hawajaanza shuleni kwako.

Faida utakazopata ukitumia mfumo huu:

  • ✅ System ya kidigitali kusimamia maombi ya usajili
  • ✅ Mfumo unaotumia akili bandia kujibu maswali ya wazazi kwa urahisi sehemu moja
  • ✅ Orodha ya mahitaji ya shule kutumwa moja kwa moja kwa mzazi aliyepewa nafasi
  • ✅ Shule itapata % kila mzazi atakapoweka oda ya mahitaji kupitia ShuleWiki
  • ✅ Msaada wa awali na mafunzo bila malipo kwa timu yako

About | Help
ShuleWiki © 2026